Msanii maarufu nchini tanzania na Africa mashariki DIAMOND PLATNUMZ

Daimond platnumz amesema kuwa yeye huwa ana moyo wa uvumilivu sana. Ndio maana hata mtu akitoa comment ya aina gani kwenye post alizo post Daimond platnumz. Basi Daimond huwa hajibu kabisa comment hizoDaimond anaendelea kusema kuwa yeye ni miongoni mwa msanii ambae ni mkomavu na shupavu. Daimond akamwambia mtangazaji aliekuwa akifanya mahojiano nae kuwa yeye Daimond akimkabidhi moyo wake mtangazaji na Mtangazaji asome comment moja tu ambayo imewekwa kwenye post za Daimond basi mtangazaji anaweza akadondoka chini puuuNi kwanamna gani Daimond platnumz anaweza kuvumilia kila aina ya changamoto anayo kutana nayo ndio maana anajiita ni msanii mvumilivu na shupavu
Follow us for more
@wamilembe
@robymedia
@official_arnold.1







