Follow us for more @robymedia
Mwanamuziki kutoka Marekani Ciara amefunguka kitu kilichomvutia zaidi kwa DiamondPlatnumz.Ciara amesema kuwa “Kujua kucheza” ni kitu ambacho amekipenda zaidi kutoka kwa Diamond jambo ambalo limefanya wapate video nzuri kwenye kolabo yao “LOW” ambayo kwa sasa inakimbiza kati ya nyimbo zote zinazopatikana kwenye Album ya mwanamama huyo..Lakini pia Ciara amefunguka namna ambavyo alifahamiana na Diamond ambapo anasema aliunganishwa na watu waliompa nafasi ya kuonekana kwenye jarida la Rollingstone Africa.

@wamilembe




