HomeBurudaniCIARA AFUNGUKA KILICHOMVUTIA KWA DIAMOND PLATNUMZ

CIARA AFUNGUKA KILICHOMVUTIA KWA DIAMOND PLATNUMZ

- Advertisement -spot_img
Follow us for more @robymedia

Mwanamuziki kutoka Marekani Ciara amefunguka kitu kilichomvutia zaidi kwa DiamondPlatnumz.Ciara amesema kuwa “Kujua kucheza” ni kitu ambacho amekipenda zaidi kutoka kwa Diamond jambo ambalo limefanya wapate video nzuri kwenye kolabo yao “LOW” ambayo kwa sasa inakimbiza kati ya nyimbo zote zinazopatikana kwenye Album ya mwanamama huyo..Lakini pia Ciara amefunguka namna ambavyo alifahamiana na Diamond ambapo anasema aliunganishwa na watu waliompa nafasi ya kuonekana kwenye jarida la Rollingstone Africa.

@wamilembe
- Advertisement -spot_img
- Advertisement -spot_img
Stay Connected
16,985FansLike
2,458FollowersFollow
61,453SubscribersSubscribe
Must Read
- Advertisement -spot_img
Related News
- Advertisement -spot_img

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here