Home Uncategorized DIAMOND AKIRI KUWA NA MOYO WA UVUMILIVU

DIAMOND AKIRI KUWA NA MOYO WA UVUMILIVU

32
0

Msanii maarufu nchini tanzania na Africa mashariki DIAMOND PLATNUMZ

Daimond platnumz amesema kuwa yeye huwa ana moyo wa uvumilivu sana. Ndio maana hata mtu akitoa comment ya aina gani kwenye post alizo post Daimond platnumz. Basi Daimond huwa hajibu kabisa comment hizoDaimond anaendelea kusema kuwa yeye ni miongoni mwa msanii ambae ni mkomavu na shupavu. Daimond akamwambia mtangazaji aliekuwa akifanya mahojiano nae kuwa yeye Daimond akimkabidhi moyo wake mtangazaji na Mtangazaji asome comment moja tu ambayo imewekwa kwenye post za Daimond basi mtangazaji anaweza akadondoka chini puuuNi kwanamna gani Daimond platnumz anaweza kuvumilia kila aina ya changamoto anayo kutana nayo ndio maana anajiita ni msanii mvumilivu na shupavu

Follow us for more 
@wamilembe
@robymedia
@official_arnold.1

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here